KANISA KATOLIKI TANGA

this page in english

Askofu Eugene C. Arthurs 1953 - 1969

 

Mhashamu Askofu Eugene C. Arthurs, I.C.; alizaliwa Apriil 8, 1914 huko Keady, katika Jimbo Kuu la Armagh, Alipewa daraja la upadre Machi 20 1943 katika kanisa la Mt. Michael's Co. Louth. Aliteuliwa kuwa muangalizi wa Jimbo Katoliki Tanga Juni 9, 1950 na liwekwa wakfu kuwa Askofu wa kwanza Jimbo katoliki la Tanga August 28 1958, na kusimikwa rasmi Aprili 12, 1959.

Alifanyakazi Jimboni Tanga kwa muda wa miaka 10. Alistaafu kwa sababu za kiafya akisumbuliwa zaidi na ugonjwa wa Moyo.