PAROKIA YA HANDENI

KANISA KATOLIKI JIMBO LA TANGA

 

Jina la Parokia: Handeni
Anuani: S.L.B. 44, Handeni, Tanzania
Simu: +255784471690/ +255656824211
Pepe: parokia_handeni@dioceseoftanga.org
Mlinzi wa Parokia: Watakatifu Paulo & Ibrahimu
Udekano: Korogwe
Uzinduzi wa Parokia: 1976


Taarifa Zaidi:

(Angalia ukurasa huu kwa kiingereza)

WAHUDUMU WA PAROKIA

Paroko: Mheshimiwa Padre John Sabuni
Padre Msaidizi: Maximillian Mahonge
Watawa: Sr. Katharina Kraus, CRA, Masista Wadogo wa Mt. Francis

RATIBA YA MISA:
Jumapili/Dominika: Saa 12.30 na 3 :00 Asubuhi
Siku za wiki: Saa 12.30 Asubuhi     

Vigango vya parokia: (15)
Handeni, Kwedibogolwa, Kwachagga, Kwasindi, Konje, Kideleko Sekondari, Mkuyu Sekondari, Kwanjugo, Maasaini (Loropil), Lengosero, Mbugoi, Mkindi, Kalang’a, Kwamadule, & Kwamalaho

TAASISI ZA DINI:
Masista Wadogo wa Mtakatifu Fransisi
Huduma ya Tiba ya Ng’ombe za Wamasai

Shule ya Chekechea

 

SHULE NA TAASISI

Shule za Awali:
Shule za Msingi:
Shule za Sekondari:
Vyuo:

HOSPITALI/ VITUO VYA AFYA NA DISPENSARI:

HISTORIA FUPI YA PAROKIA:

PICHA ZA PAROKIA: