PAROKIA YA KABUKU

KANISA KATOLIKI JIMBO LA TANGA

 

Jina la Parokia: Kabuku
Anuani: S.L.B. 61, Korogwe, Tanzania
Simu: +255753096026
Pepe: parokia_kabuku@dioceseoftanga.org
Mlinzi wa Parokia: Watakatifu Gregori na Katarina
Udekano: Korogwe
Uzinduzi wa Parokia: 1986


Taarifa Zaidi:

(Angalia ukurasa huu kwa kiingereza)

WAHUDUMU WA PAROKIA

Paroko: Mheshimiwa Padre Henry Kahumba, ALCP/OSS
Padre Msaidizi: Mheshimiwa Padre Riziki Shayo, ALSP/OSS
Watawa: Shirika la Mama yetu wa Usambara (COLU)

RATIBA YA MISA:
Jumapili/Dominika: Saa 2 asubuhi
Siku za wiki: Saa 12.30 asubuhi

Vigango vya parokia: (17)
Kabuku, Taula, Mgambo, Kwedizinga, Kwalaguru, Mtakuja, Kwamnyese, Kwamaluli, Gendagenda, Kwamkonga, Kitumbi, Mkata, Kwediloko, Kwamgunga, Kweboi, Msirwa, & Chekereni

TAASISI ZA DINI:
Jumuiya na Mapadre wa Maisha ya Kitume katika Kazi ya Roho Mtakatifu (ALCP/OSS)
 

TAASISI ZA ELIMU:

Shule za Awali: 6
Shule za Msingi: 44
Shule za Sekondari: 11
Vyuo: 0

TAASISI ZA AFYA:
Hospitali: 0
Vituo vya Afya: 1
Zahanati: 6

HISTORIA FUPI YA PAROKIA:

PICHA ZA PAROKIA: