PAROKIA YA KWEDIBOMA

KANISA KATOLIKI JIMBO LA TANGA

 

Jina la Parokia:
Anuani: S.L.B. 46, Handeni, Tanzania
Simu: +255786869622
Pepe: parokia_kwediboma@dioceseoftanga.org
Mlinzi wa Parokia: Familia Takatifu ya Yesu, Maria, na Yosefu
Udekano: Korogwe
Uzinduzi wa Parokia: 1950


Taarifa Zaidi:

(Angalia ukurasa huu kwa kiingereza)

WAHUDUMU WA PAROKIA

Paroko: Mheshimiwa Padre Silas Singano
Padre Msaidizi: Mheshimiwa Padre Anthony Saguti
Watawa: Masista wa Rosmini wa Mapenzi ya Mungu

RATIBA YA MISA:
Jumapili/Dominika: Saa 2 :30 Asubuhi
Siku za wiki: Saa 12:30 As (J3 – Ij). Saa 1:00 As. (J1).

Vigango vya parokia: (15)
Kwediboma, Tamota, Kwenji, Kwadudu, Mzinga, Kweligole, Magalu, Songe, Kilindi, Kingo, Kileguru, Tilwe, Mbogo, Msufini, & Vunila
 
TAASISI ZA DINI:
Kituo cha Afya Kwediboma, S.L.B. 46, Handeni, Tanzania.
 

TAASISI ZA ELIMU:

Shule za Msingi: 99
Shule za Sekondari: 20
Vyuo: 1 (Ualimu)

TAASISI ZA AFYA:
Hospitali: 1
Vituo vya Afya: 3
Zahanati: 11

HISTORIA FUPI YA PAROKIA:

PICHA ZA PAROKIA: