PAROKIA YA HALE

KANISA KATOLIKI JIMBO LA TANGA

 

Jina la Parokia: Hale
Anuani: S.L.B. 483, Korogwe, Tanzania
Simu: +255784418828/ +255718458584
Pepe: parokia_hale@dioceseoftanga.org
Mlinzi wa Parokia: Bikira Maria, Malkia na Mama
Udekano: Korogwe
Uzinduzi wa Parokia: 1974


Taarifa Zaidi:

(Angalia ukurasa huu kwa kiingereza)

WAHUDUMU WA PAROKIA

Paroko: Mheshimiwa Padre Thomas Msagati
Padre Msaidizi: Hakuna
Watawa: Shirika la Mama yetu wa Usambara (COLU)

RATIBA YA MISA:
Jumapili/Dominika: Saa 12:30As., 2:30As. & 10:00 Jioni (Watoto)
Siku za wiki: 12:30As

Vigango vya parokia: (17)
Michungwani, Ngojolo, Kwamgwe Kambini, Mihangalani, Kwadoyo, Makinyumbi Station, Muhamba, Mkulumilo, Mbuyuni, Zeneti, Bagamoyo, Mijohoroni, Kilole, Mahanje, Mbambala, Kwakibuyu, & Bwitini
 
TAASISI ZA DINI:
Masista wa Gemma Galgani, Chang’ombe, S.L.P. 220, Korogwe, Tanzania.
 

TAASISI ZA ELIMU:

Shule za Awali: 0
Shule za Msingi: 21
Shule za Sekondari: 5
Vyuo: 0

TAASISI ZA AFYA:
Hospitali: 0
Vituo vya Afya: 0
Zahanati: 6

HISTORIA FUPI YA PAROKIA:

PICHA ZA PAROKIA: