PAROKIA YA KWALUKONGE

KANISA KATOLIKI JIMBO LA TANGA

 

Jina la Parokia: Kwalukonge
Anuani: S.L.B. 34, Mombo, Tanzania
Simu: +255784590512
Pepe: parokia_kwalukonge@dioceseoftanga.org
Mlinzi wa Parokia: Mchungaji Mwema
Udekano: Korogwe
Uzinduzi wa Parokia: 2003


Taarifa Zaidi:

(Angalia ukurasa huu kwa kiingereza)

WAHUDUMU WA PAROKIA

Paroko: Mheshimiwa Padre Anthony Mitchell, I.C.
Padre Msaidizi: Hakuna
Watawa: Shirika la Mama yetu wa Usambara (COLU)

RATIBA YA MISA:
Jumapili/Dominika: Saa 3 :00As. (Kituo cha Afya: Saa 1.15As)
Siku za wiki: Saa 12:30 As. (Kituo cha Afya: Saa 12:30)

Vigango vya parokia: (6 )
Kwalukonge, Kibaoni, Changalikwa, Mwenga, Mzeri, & Mkalamo
 
TAASISI ZA DINI:
Kituo cha Afya Kwalukonge, S.L.B. 34, Mombo, Tanzania.

TAASISI ZA ELIMU:

Shule za Awali: 0
Shule za Msingi: 4
Shule za Sekondari: 1
Vyuo: 0

TAASISI ZA AFYA:
Hospitali: 0
Vituo vya Afya: 1
Zahanati:0

HISTORIA FUPI YA PAROKIA:

PICHA ZA PAROKIA: