PAROKIA YA MAGOMA

KANISA KATOLIKI JIMBO LA TANGA

 

Jina la Parokia: Magoma
Anuani: S.L.B. 598, Korogwe, Tanzania
Simu: +255713312067
Pepe: parokia_magoma@dioceseoftanga.org
Mlinzi wa Parokia: Mtakatifu Yosefu, Mume wa Bikira Maria
Udekano: Korogwe
Uzinduzi wa Parokia: 1976


Taarifa Zaidi:

(Angalia ukurasa huu kwa kiingereza)

 

WAHUDUMU WA PAROKIA

Paroko: Mheshimiwa Padre Severine Msigiti
Padre Msaidizi: Hakuna
Watawa: Hakuna

RATIBA YA MISA:
Jumapili/Dominika: Saa 1:00 Asubuhi
Siku za wiki: Saa 12:30 Asubuhi

Vigango vya parokia: (20)
Magoma, Vingo, Kerenge Makaburini, Gombero, Kerenge Mlemwa, Matalawanda, Msamaka, Makumba, Kijango, Kihingo, Mahezangulu, Kulasi, Foroforo, Msiya, Kwetone, Mashewa, Kitivo, Kalalani, & Kigwasi
 
TAASISI ZA DINI: Hakuna

TAASISI ZA ELIMU:

Shule za Awali: 0
Shule za Msingi:
Shule za Sekondari: 3
Vyuo: 0

TAASISI ZA AFYA:
Hospitali: 0
Vituo vya Afya: 1
Zahanati: 2

HISTORIA FUPI YA PAROKIA:

PICHA ZA PAROKIA: