PAROKIA YA MAZINDE

KANISA KATOLIKI JIMBO LA TANGA

 

Jina la Parokia: Mazinde
Anuani: S.L.B. 42, Mombo, Tanzania
Simu: +255784414185
Pepe: parokia_mazinde@dioceseoftanga.org
Mlinzi wa Parokia: Bikira Maria, Mama wa Mateso
Udekano: Korogwe
Uzinduzi wa Parokia: 1951


Taarifa Zaidi:

(Angalia ukurasa huu kwa kiingereza)

 

WAHUDUMU WA PAROKIA

Paroko: Mheshimiwa Padre Thadeus Ponera
Padre Msaidizi: Hakuna
Watawa: Shirika la Mama yetu wa Usambara (COLU)

RATIBA YA MISA:
Jumapili/Dominika: Saa 1.30 Asubuhi
Siku za wiki: Saa 12.30 Asu (J3 – Ij) & Saa 1:00 Asu (J1)

Vigango vya parokia: (8)
Mazinde, Mnazi, Mkomazi, Manga, Mkumbara, Mabogo, Mbuyuni, & Toronto
 
TAASISI ZA DINI:
Zahanati ya Mazinde/Ngua, S.L.B. 42, Mombo, Tanzania.

TAASISI ZA ELIMU:

Shule za Awali:
Shule za Msingi:
Shule za Sekondari:
Vyuo:

 

TAASISI ZA AFYA:
Hospitali:
Vituo vya Afya:

Zahanati:

HISTORIA FUPI YA PAROKIA:

PICHA ZA PAROKIA: