PAROKIA YA MOMBO

KANISA KATOLIKI JIMBO LA TANGA

 

Jina la Parokia: Mombo
Anuani: S.L.B. 56, Mombo, Tanzania
Simu: +255786457286
Pepe: parokia_mombo@dioceseoftanga.org
Mlinzi wa Parokia: Mtakatifu Yosefu, Mume wa Bikira Maria
Udekano: Korogwe
Uzinduzi wa Parokia: 1986


Taarifa Zaidi:

(Angalia ukurasa huu kwa kiingereza)

 

WAHUDUMU WA PAROKIA

Paroko: Mheshimiwa Padre George Kamau, I.C.
Padre Msaidizi: Hakuna

Watawa: Shirika la Mama yetu wa Usambara (COLU)

RATIBA YA MISA:
Jumapili/Dominika: Saa 2.30 Asubuhi
Siku za wiki: Saa 12:30 asubuhi (J3-Ij) na Saa 1.30 asubuhi (J1)

Vigango vya parokia: (6)
Mombo, Vuluni, Gomba, Kwasunga, Makuyuni, & Mwelya
 
TAASISI ZA DINI:
Shule ya Chekechea

TAASISI ZA ELIMU:

Shule za Awali:0
Shule za Msingi: 15
Shule za Sekondari: 6
Vyuo: 0

TAASISI ZA AFYA:
Hospitali: 0
Vituo vya Afya: 1
Zahanati: 5

HISTORIA FUPI YA PAROKIA:

PICHA ZA PAROKIA: