PAROKIA YA POTWE

KANISA KATOLIKI JIMBO LA TANGA

 

Jina la Parokia: Potwe
Anuani: S.L.B. 41, Mnyusi, Tanzania
Simu: +255654683298/+255784334540
Pepe: parokia_potwe@dioceseoftanga.org
Mlinzi wa Parokia: Yesu Kristu, Mfalme
Udekano: Korogwe
Uzinduzi wa Parokia: 1953


Taarifa Zaidi:

(Angalia ukurasa huu kwa kiingereza)

 

WAHUDUMU WA PAROKIA

Paroko: Mheshimiwa Padre Severine Msemwa
Padre Msaidizi: Hakuna
Watawa: Hakuna

RATIBA YA MISA:
Jumapili/Dominika: Saa 2 asubuhi
Siku za wiki:  Saa 12.30 asubuhi

Vigango vya parokia: (8)
Potwe, Bombwera, Mashewa, Maskati, Mkwakwani, Mnyuzi, Mruazi, & Mhamba

TAASISI ZA KANISA

Passionist Fathers Zenneth, P.O. Box 169, Muheza, Tanzania.
Sisters of Charity of the Immaculate Conception of Ivrea, P.O. Box 169, Muheza, Tz

TAASISI ZA ELIMU:
Shule za Awali: 0
Shule za Msingi: 13
Shule za Sekondari: 4
Vyuo: 1

TAASISI ZA AFYA:
Hospitali: 0
Vituo vya Afya: 0
Zahanati: 2

HISTORIA FUPI YA PAROKIA:

PICHA ZA PAROKIA: