PAROKIA YA GARE

KANISA KATOLIKI JIMBO LA TANGA

 

Jina la Parokia: Gare
Anuani: S.L.B. 126, Lushoto, Tanzania
Simu: +255784426838
Pepe: parokia_gare@dioceseoftanga.org
Mlinzi wa Parokia: Bikira Maria Mpalizwa Mbinguni & St. Bernard
Udekano: Lushoto
Uzinduzi wa Parokia: 1897


Taarifa Zaidi:

(Angalia ukurasa huu kwa kiingereza)

 

WAHUDUMU WA PAROKIA

Paroko: Mheshimiwa Padre Anthony Marandu, I.C.
Padre Msaidizi: Mheshimiwa Padre Theophile Nkosango, I.C.
Watawa: Shirika la Mama yetu wa Usambara (COLU)

RATIBA YA MISA:
Jumapili/Dominika: Saa 4.30 Asubuhi (Kongei Saa 2.30Asubuhi)
Siku za wiki: Saa 1:00 Asubuhi

Vigango vya parokia: (4)
Gare, Kongei, Boheloi, Kwemashai
 
TAASISI ZA DINI:

  • Kituo cha Hija cha Jimbo
  • Nyumba ya Wapostulanti ya Shirika la Mapendo
  • Shule ya Chekechea Gare
  • Konventi ya Masista wa COLU Kongei
  • Zahati Gare na Chekechea
  • Sekondari ya Wasichana Kongei, S.L.P. 61, Lushoto, Tanzania.
  • Zahanati ya Kongei, S.L.P. 61, Lushoto, Tanzania

TAASISI ZA ELIMU:

Shule za Awali:
Shule za Msingi: 7
Shule za Sekondari: 4
Vyuo: 0

TAASISI ZA AFYA:
Hospitali:0
Vituo vya Afya: 0
Zahanati: 2

HISTORIA FUPI YA PAROKIA:

PICHA ZA PAROKIA: