PAROKIA YA KONGOI

KANISA KATOLIKI JIMBO LA TANGA

 

Jina la Parokia: Kongoi
Anuani: S.L.B. 65, Soni, Tanzania
Simu: +255684450397
Pepe: parokia_kongoi@dioceseoftanga.org
Mlinzi wa Parokia: Mtakatifu Patrick
Udekano: Lushoto
Uzinduzi wa Parokia: 1966


Taarifa Zaidi:

(Angalia ukurasa huu kwa kiingereza)

 

WAHUDUMU WA PAROKIA

Paroko: Mheshimiwa Padre Leopold Nyandwi
Padre Msaidizi: Peter Mapunda
Watawa: Shirika la Mama yetu wa Usambara (COLU)

RATIBA YA MISA:
Jumapili/Dominika: Saa 2 asubuhi na saa 9.30 alasiri (watoto)
Siku za wiki: Saa 12.30 asubuhi

Vigango vya parokia: (5)
Kongoi, Mgwashi, Milingano, Mhanko, & Yamba
 
TAASISI ZA DINI:

  • Zahanati ya Kongoi
  • Shule ya Chekechea Kongoi

TAASISI ZA ELIMU:

Shule za Awali:
Shule za Msingi: 17
Shule za Sekondari: 3
Vyuo: 0

TAASISI ZA AFYA:
Hospitali: 0
Vituo vya Afya: 1
Zahanati: 2

HISTORIA FUPI YA PAROKIA:

PICHA ZA PAROKIA: