PAROKIA YA KWAI

KANISA KATOLIKI JIMBO LA TANGA

 

Jina la Parokia: Kwai
Anuani: S.L.B. 73, Lushoto, Tanzania
Simu: +255715843592/+255788843592
Pepe: parokia_kwai@dioceseoftanga.org
Mlinzi wa Parokia: Mtakatifu Fransisi Ksavery
Udekano: Lushoto
Uzinduzi wa Parokia: 1965


Taarifa Zaidi:

(Angalia ukurasa huu kwa kiingereza)

 

WAHUDUMU WA PAROKIA

Paroko:  Mheshimiwa Padre Richard Kajiru
Padre Msaidizi: Mheshimiwa Padre Peter Singano
Watawa: Shirika la Mama yetu wa Usambara (COLU)

RATIBA YA MISA:
Jumapili/Dominika: Saa 4.30 Asubuhi
Siku za wiki: Saa 12.30 Asubuhi

Vigango vya parokia: (3)
Kwai, Mazumbai & Msale
 
TAASISI ZA DINI:
Kituo cha Afya cha Mt. Katerina Kwai
Shule ya Chekechea

TAASISI ZA ELIMU:

Shule za Awali:
Shule za Msingi: 22
Shule za Sekondari: 11
Vyuo: 0

TAASISI ZA AFYA:
Hospitali: 0
Vituo vya Afya: 1
Zahanati: 3

HISTORIA FUPI YA PAROKIA:

PICHA ZA PAROKIA: