PAROKIA YA MALINDI

KANISA KATOLIKI JIMBO LA TANGA

 

Jina la Parokia: Malindi
Anuani: S.L.B. 42, Lushoto, Tanzania
Simu: +255784498996/ +255719188080
Pepe: parokia_malindi@dioceseoftanga.org
Mlinzi wa Parokia: Mtakatifu Teresia wa Mtoto Yesu
Udekano: Lushoto
Uzinduzi wa Parokia: 1976


Taarifa Zaidi:

(Angalia ukurasa huu kwa kiingereza)

 

WAHUDUMU WA PAROKIA

Paroko: Mheshimiwa Padre John Kika Zuakuu
Padre Msaidizi: Padre Fraternus Mbuya
Watawa: Hakuna

RATIBA YA MISA:
Jumapili/Dominika: Saa 2 :00 asubuhi na saa 9 :00 mchana (watoto)
Siku za wiki: Saa 12.30 asubuhi

Vigango vya parokia: (11)
Malindi, Kinko, Makanya, Lukozi, Hambalawei, Mtumbi, Malindi Juu, Mlalo, Hemtoye, Mziragembei,& Jumuia ya Moa/Mwangoi

TAASISI ZA DINI: (Hakuna)

TAASISI ZA ELIMU:

Shule za Awali:
Shule za Msingi: 13
Shule za Sekondari: 8
Vyuo: 0

TAASISI ZA AFYA:
Hospitali:
Vituo vya Afya:
Zahanati:

HISTORIA FUPI YA PAROKIA:

PICHA ZA PAROKIA: