PAROKIA YA MKUZI

KANISA KATOLIKI JIMBO LA TANGA

 

Jina la Parokia: Mkuzi
Anuani: S.L.B. 267, Lushoto, Tanzania
Simu: +255656050216
Pepe: parokia_mkuzi@dioceseoftanga.org
Mlinzi wa Parokia: Moyo Mtakatifu wa Yesu
Udekano: Lushoto
Uzinduzi wa Parokia: 2003


Taarifa Zaidi:

(Angalia ukurasa huu kwa kiingereza)

 

WAHUDUMU WA PAROKIA

Paroko: Mheshimiwa Padre Vitus Nkondora
Padre Msaidizi: Hakuna
Watawa: Hakuna

RATIBA YA MISA:
Jumapili/Dominika: Saa 2 :30Asubuhi
Siku za wiki: Saa 12:30 Asubuhi

Vigango vya parokia: (1) Milungui
 
TAASISI ZA DINI:

  • Sekondari ya Wasichana Kifungilo, S.L.B. 37, Lushoto, Tanzania.
  • Konventi ya Masista wa Damu Azizi (C.P.S), S.L.B. 37, Lushoto, Tanzania.
  • Zahanati ya Kifungilo
  • Makao ya Chaplini Kifungilo, S.L.B 37, Lushoto

TAASISI ZA ELIMU:
Shule za Awali:
Shule za Msingi:
Shule za Sekondari:
Vyuo:

TAASISI ZA AFYA:
Hospitali:
Vituo vya Afya:
Zahanati:

HISTORIA FUPI YA PAROKIA:

PICHA ZA PAROKIA: