PAROKIA YA RANGWI

KANISA KATOLIKI JIMBO LA TANGA

 

Jina la Parokia: Rangwi
Anuani: S.L.B. 36 Lushoto, Tanzania
Simu: +255784418878/ +255712821701
Pepe: parokia_rangwi@dioceseoftanga.org
Mlinzi wa Parokia: Moyo Mtakatifu wa Yesu
Udekano: Lushoto
Uzinduzi wa Parokia: 1953


Taarifa Zaidi:

(Angalia ukurasa huu kwa kiingereza)

 

WAHUDUMU WA PAROKIA

Paroko: Mheshimiwa Padre Anthony Mtunguja
Padre Msaidizi:
Watawa: Shirika la Mama yetu wa Usambara (COLU)

RATIBA YA MISA:
Jumapili/Dominika: Saa 2:00 Asubuhi
Siku za wiki: Saa 1:00 Asubuhi

Vigango vya parokia: (5)
Rangwi, Masereka, Manolo, Gologolo, & Longoi

TAASISI ZA DINI :

  • Nyumba Mama na Novisiati ya Masista wa COLU, S.L.B 143, Lushoto, Tanzania.
  • Makao ya Chaplini Utawani Rangwi, S.L.B 143, Lushoto, Tanzania.
  • Chuo cha Ukatekisti kwa Masista wa COLU, S.L.B. 143, Lushoto, Tanzania
  • Zahanati

TAASISI ZA ELIMU

Shule za Msingi: 20
Shule za Sekondari: 10
Vyuo: 2

TAASISI ZA AFYA:
Hospitali: 0
Vituo vya Afya: 2
Zahanati: 3

HISTORIA FUPI YA PAROKIA:

PICHA ZA PAROKIA: