PAROKIA YA SAKHARANI

KANISA KATOLIKI JIMBO LA TANGA

 

Jina la Parokia: Sakharani
Anuani: S.L.B. 40, Soni, Tanzania
Simu: +255789509497
Pepe: parokia_sakharani@dioceseoftanga.org
Mlinzi wa Parokia: Mtakatifu Yosefu Mfanyakazi
Udekano: Lushoto
Uzinduzi wa Parokia: 1976


Taarifa Zaidi:

(Angalia ukurasa huu kwa kiingereza)

 

WAHUDUMU WA PAROKIA

Paroko: Mheshimiwa Padre Nemes Kiama
Padre Msaidizi: Hakuna
Watawa: Shirika la Mama yetu wa Usambara (COLU)

RATIBA YA MISA:
Jumapili/Dominika: Saa 3 :00 Asubuhi
Siku za wiki: Saa 1:00 Asubuhi

Vigango vya parokia: (4)
Sakarani, Baga, Kwesine, & Kwehangala
 
TAASISI ZA DINI:

  • Priori ya Watawa wa Benediktini – Sakharani Chini, S.L.B. 40, Soni, Tanzania

TAASISI ZA ELIMU:

Shule za Awali:
Shule za Msingi:
Shule za Sekondari:
Vyuo:

TAASISI ZA AFYA:
Hospitali:
Vituo vya Afya:
Zahanati:

HISTORIA FUPI YA PAROKIA:

PICHA ZA PAROKIA: