PAROKIA YA SONI

KANISA KATOLIKI JIMBO LA TANGA

 

Jina la Parokia: Soni
Anuani: S.L.B. 140, Soni, Tanzania
Simu: +255787048323
Pepe: parokia_soni@dioceseoftanga.org
Mlinzi wa Parokia: Mtakatifu Martin wa Tours
Udekano: Lushoto
Uzinduzi wa Parokia: 1989


Taarifa Zaidi:

(Angalia ukurasa huu kwa kiingereza)

 

WAHUDUMU WA PAROKIA

Paroko: Mheshimiwa Padre Athanas Meixner, OSB
Padre Msaidizi: Hakuna

Watawa: Shirika la Mama yetu wa Usambara (COLU)

RATIBA YA MISA:
Jumapili/Dominika: Saa 2.30As (Halafu vigangoni)
Siku za wiki: 1:00 As

Vigango vya parokia: (6)
Soni, Shashui, Kitala, Ngwashi, Mankha, & Ngwilu
 
TAASISI ZA DINI:

  • Zahanati Parokiani Soni, S.L.B. 140, Soni, Tanzania.
  • Seminari Ndogo ya Mt. Yosefu, S.L.B. 34, Soni, Tanzania.
  • Zahanati Seminarini Soni, S.L.B. 34, Soni, Tanzania.

TAASISI ZA ELIMU:

Shule za Awali:
Shule za Msingi:
Shule za Sekondari:
Vyuo:

TAASISI ZA AFYA:
Hospitali:
Vituo vya Afya:
Zahanati:

HISTORIA FUPI YA PAROKIA:

PICHA ZA PAROKIA: