PAROKIA YA AMANI

KANISA KATOLIKI JIMBO LA TANGA

 

Jina la Parokia: Amani
Anuani: P.O. Box 54, Amani, Tanzania
Simu: 255-784729517
Pepe: parokia_amani@dioceseoftanga.org
Mlinzi wa Parokia: Bikira Maria Malkia wa Amani
Udekano: Tanga
Uzinduzi wa Parokia: 1985


Taarifa Zaidi:

(Angalia ukurasa huu kwa kiingereza)

WAHUDUMU WA PAROKIA

Paroko: Mheshimiwa padre Stanslaus Baruti
Padre Msaidizi: Hakuna
Watawa: Shirika la Mama yetu wa Usambara (COLU)

RATIBA YA MISA:
Jumapili/Dominika: Saa 3.00 Asubuhi
Siku za wiki: Saa 1:00 Asubuhi

Vigango vya parokia: (9) Amani, Kwamkoro, Ngua, Monga, Mgambo, Bulwa IBC Msasa, Kwemdimu, & Fanusi

TAASISI ZA DINI:

TAASISI ZA ELIMU:

Shule za Awali: 5
Shule za Msingi: 16
Shule za Sekondari: 3
Vyuo:

TAASISI ZA AFYA:
Hospitali: 0
Vituo vya Afya:1
Zahanati: 7

HISTORIA FUPI YA PAROKIA:

PICHA ZA PAROKIA: