PAROKIA YA MARAMBA

KANISA KATOLIKI JIMBO LA TANGA

 

Jina la Parokia: Maramba
Anuani: S.L.B. 17, Maramba, Tanzania
Simu: +255784269663
Pepe: parokia_maramba@dioceseoftanga.org
Mlinzi wa Parokia: Bikira Maria Mkingiwa Dhambi ya Asili
Udekano: Tanga
Uzinduzi wa Parokia: 1970


Taarifa Zaidi:

(Angalia ukurasa huu kwa kiingereza)

 

WAHUDUMU WA PAROKIA

Paroko: Mheshimiwa Padre Passian Kika
Padre Msaidizi: Hakuna
Watawa: Hakuna

RATIBA YA MISA:
Jumapili/Dominika: Saa 1 :00As. & Saa 3:30As. (Baadaye vigangoni)
Siku za wiki: Saa 12 :30Asubuhi

Vigango vya parokia: (15 )
Lugongo/Mtakuja, Churwa, Bwiti, Mtapwa, Kibaoni, Mwanyumba, Machimboni, Kwajanja, Mwele, Kichangani, Kiumbo, Nuzi, Daluni, Ng’ombezi & Mwakijembe
 
TAASISI ZA DINI:

TAASISI ZA ELIMU:

Shule za Awali:
Shule za Msingi:
Shule za Sekondari:
Vyuo:

TAASISI ZA AFYA:
Hospitali:
Vituo vya Afya:
Zahanati:

HISTORIA FUPI YA PAROKIA:

PICHA ZA PAROKIA: