PAROKIA TARAJIWA YA MISOZWE

KANISA KATOLIKI JIMBO LA TANGA

 

Jina la Parokia: Misozwe
Anuani: S.L.B 180, Muheza, Tanzania
Simu: +255787281626/ +255653381626
Pepe: parokia_misozwe@dioceseoftanga.org
Mlinzi wa Parokia:
Udekano: Tanga
Uzinduzi wa Parokia: 2011


Taarifa Zaidi:

(Angalia ukurasa huu kwa kiingereza)

 

WAHUDUMU WA PAROKIA

Paroko: Mheshimiwa Padre Emmanuel Mavengero
Padre Msaidizi: Padre Ernest Seng'enge
Watawa: Hakuna

RATIBA YA MISA:
Jumapili/Dominika: Saa 2 :00 Asubuhi
Siku za wiki: Saa.12.30 Asubuhi

Vigango vya parokia: (7)
St. James Misozwe, Mlingoti, Mwakitimba, Marimba, Kambai (Zigi Mwembeni), Paramba & Lanzoni
 
TAASISI ZA DINI: (Hakuna)

TAASISI ZA ELIMU:

Shule za Awali:0
Shule za Msingi: 9
Shule za Sekondari: 4
Vyuo: 0

TAASISI ZA AFYA:
Hospitali: 0
Vituo vya Afya: 0
Zahanati: 4

HISTORIA FUPI YA PAROKIA:

PICHA ZA PAROKIA: