PAROKIA YA MLINGANO

KANISA KATOLIKI JIMBO LA TANGA

 

Jina la Parokia: Mlingano
Anuani: S.L. B 306, Muheza, Tanzania
Simu: +255787046973/ +255716673381
Pepe: parokia_mlingano@dioceseoftanga.org
Mlinzi wa Parokia: Bikira Maria, Malkia wa Mbinguni
Udekano: Tanga
Uzinduzi wa Parokia: 1902


Taarifa Zaidi:

(Angalia ukurasa huu kwa kiingereza)

WAHUDUMU WA PAROKIA

Paroko: Mheshimiwa Padre Donatus Kingazi
Padre Msaidizi: Fr. Richard Mshami, Fr. Vincent Ushaki, Fr. Augustino Temu
Watawa:

RATIBA YA MISA:
Jumapili/Dominika: 1.30Asubuhi
Siku za wiki: 12 :30 Asubuhi
Vigango vya parokia: ( 16)
Mlingano Mission, Mlingano Mnarani, Ilala, Azimio, Kibaranga, Mjesani, Pande Masai, Kwangena, Kichangani, Bantu, Umba, Ngomeni, Machemba, Misufini, Kumburu, & Kwamnyefu

TAASISI ZA DINI:

  • Chuo cha Makatekista cha Mt. Paulo, S.L.B. 130, Muheza, Tanzania

TAASISI ZA ELIMU:

Shule za Awali:
Shule za Msingi:
Shule za Sekondari:
Vyuo:

TAASISI ZA AFYA:
Hospitali:
Vituo vya Afya:
Zahanati:

HISTORIA FUPI YA PAROKIA:

PICHA ZA PAROKIA: