PAROKIA YA MTINDIRO

KANISA KATOLIKI JIMBO LA TANGA

 

Jina la Parokia: Mtindiro
Anuani: S.L.B. 122, Muheza, Tanzania
Simu: +255784403177/ +255715403177
Pepe: parokia_mtindiro@dioceseoftanga.org
Mlinzi wa Parokia: Mtakatifu Fransis Ksavery 
Udekano: Tanga
Uzinduzi wa Parokia: 2006


Taarifa Zaidi:

(Angalia ukurasa huu kwa kiingereza)

WAHUDUMU WA PAROKIA

Paroko: Mheshimiwa Padre Elius Maivaji
Padre Msaidizi: Hakuna
Watawa: Hakuna

RATIBA YA MISA:
Jumapili/Dominika: Saa 4 Asubuhi
Siku za wiki: Saa 12.30 Asubuhi

Vigango vya parokia: ( 6)
 Makuyuni, Buhuri, Lewa, Kwakopwe, Mtindiro na Kwabada

TAASISI ZA DINI: (Hakuna)

TAASISI ZA ELIMU:

Shule za Awali: 0
Shule za Msingi: 6
Shule za Sekondari: 1
Vyuo: 0

TAASISI ZA AFYA:
Hospitali: 0
Vituo vya Afya: 0
Zahanati: 1

HISTORIA FUPI YA PAROKIA:

PICHA ZA PAROKIA: