PAROKIA YA MUHEZA

KANISA KATOLIKI JIMBO LA TANGA

 

Jina la Parokia: Muheza
Anuani: S.L.B. 83, Muheza, Tanzania
Simu: +255685246999
Pepe: parokia_muheza@dioceseoftanga.org
Mlinzi wa Parokia: Ufufuko wa Kristu
Udekano: Tanga
Uzinduzi wa Parokia: 1969


Taarifa Ziida

(Angalia ukurasa huu kwa kiingereza)

WAHUDUMU WA PAROKIA

Paroko: Mheshimiwa Padre Martin Kihiyo
Padre Msaidizi: Mheshimiwa Padre Ernest Kipingu
Watawa: Hakuna

RATIBA YA MISA:
Jumapili/Dominika: 1:00 Asu, 3:15Asu., & 10:00 Jioni (Watoto)
Siku za wiki: 12:00Asu (Rosmini), 12:30Asu (Parokia) & 1:00Asu (Kididima)

Vigango vya parokia: (11)
Muheza, Bombani, Nkumba, Muheza Estate, Mkumbi, Kitisa, Mamboleo, Ngalani, Mkuzi, Masaika, & Mindu
 
TAASISI ZA DINI:
Nyumba ya Malezi ya Masista wa Rosmini, S.L.B 5450, Tanga, Tanzania.
Kituo cha Afya Kididima (COLU), S.L.B. 130, Muheza, Tanzania.

TAASISI ZA ELIMU:

Shule za Awali:
Shule za Msingi: 29
Shule za Sekondari: 12
Vyuo: 3

TAASISI ZA AFYA:
Hospitali: 1
Vituo vya Afya:3
Zahanati:7

HISTORIA FUPI YA PAROKIA:

PICHA ZA PAROKIA: