PAROKIA YA PANGANI

KANISA KATOLIKI JIMBO LA TANGA

 

Jina la Parokia: Pangani
Anuani: S.L.B.85, Pangani, Tanzania
Simu: +255784831788/ +255715389470
Pepe: parokia_pangani@dioceseoftanga.org
Mlinzi wa Parokia: Bikira Maria, Nyota ya Bahari
Udekano: Tanga
Uzinduzi wa Parokia: 1973


Taarifa Zaidi:

(Angalia ukurasa huu kwa kiingereza)

WAHUDUMU WA PAROKIA

Paroko: Mheshimiwa Padre Joseph Mbena
Padre Msaidizi:
Watawa: Shirika la Mama yetu wa Usambara (COLU)

RATIBA YA MISA:
Jumapili/Dominika: Saa 1 :00 Asubuhi
Siku za wiki: Saa 12:.15 Asubuhi

Vigango vya parokia: (13)
Bushiri, Mwembeni, Kingang’a, Kigurusimba, Kasanga, Kibinda, Mwera, Moka, Mahazara, Boza, Makorora, Kikokwe, & Sakura
 
TAASISI ZA DINI:
Mapadre na Mabruda Wakapuchini (OFMCap), Mivumoni, S.L.B.35, Pangani, Tanzania.
Masista Wakapuchini wa Maua, Mivumoni, SL.B. 35, Pangani, Tanzania.
Zahanati Mivumoni
Chekechea Mivumoni
Masista wa Roho Mtakatifu, P.O. Box 85, Pangani Tanzania.

TAASISI ZA ELIMU:

Shule za Awali:
Shule za Msingi:
Shule za Sekondari:
Vyuo:

TAASISI ZA AFYA:
Hospitali:
Vituo vya Afya:
Zahanati:

HISTORIA FUPI YA PAROKIA:

PICHA ZA PAROKIA: