PAROKIA YA PONGWE SARUJI

KANISA KATOLIKI JIMBO LA TANGA

 

Jina la Parokia: Pongwe Saruji
Anuani: S.L.B. 298, Tanga, Tanzania
Simu: +255787622740
Pepe: parokia_pongwe@dioceseoftanga.org
Mlinzi wa Parokia: St. Peter, the Apostle
Udekano: Tanga
Uzinduzi wa Parokia: 1885


Taarifa Zaidi:

(Angalia ukurasa huu kwa kiingereza)

WAHUDUMU WA PAROKIA

Paroko:  Mheshimiwa Padre Peter Bahati, I.C.
Padre Msaidizi: Hakuna

Watawa: Shirika la Mama yetu wa Usambara (COLU)

RATIBA YA MISA:
Jumapili/Dominika: Saa 1.30As. (Kange) Saa 3.15As. (Saruji), & Saa 4.30As (Pongwe) Siku za wiki: Saa.12.00 asubuhi (J3-Ij) na 12:30 asubuhi (J1)

Vigango vya parokia: (8 )
St. Peter Saruji, St. Gerald Pongwe, Kange, Kisimatui, Kakindu, Jaribu tena, Chote & Mkembe

TAASISI ZA DINI:

  • Sekondari ya Rosmini, S.L.B. 676, Tanga, Tanzania
  • Shule mbili za chekechea

TAASISI ZA ELIMU:

Shule za Awali:
Shule za Msingi:
Shule za Sekondari: 9
Vyuo: 4

TAASISI ZA AFYA:
Hospitali: 0
Vituo vya Afya: 1
Zahanati: 1

HISTORIA FUPI YA PAROKIA:

PICHA ZA PAROKIA: