PAROKIA YA MTAKATIFU MATIASI MULUMBA

KANISA KATOLIKI JIMBO LA TANGA

 

Jina la Parokia: Mtakatifu Matias Mulumba
Anuani: S.L.B. 56, Tanga, Tanzania
Simu: +255754389470/ +255715389470
Pepe: parokia_usagara@dioceseoftanga.org
Mlinzi wa Parokia: Mtakatifu Matias Mulumba
Udekano: Tanga
Uzinduzi wa Parokia: 1990


Taarifa Zaidi:

(Angalia ukurasa huu kwa kiingereza)

WAHUDUMU WA PAROKIA

Paroko: Mheshimiwa Padre Paul Mshami
Padre Msaidizi: Fr. Maurus Shemdoe, Fr. Roman Shekumkai
Watawa: Shirika la Mama yetu wa Usambara (COLU)

RATIBA YA MISA:
Jumapili/Dominika: Saa 12:30 As, 1:30As., 3.30As. & Saa 10:00 Jio (watoto)
Siku za wiki: Saa 12 :15 Asubuhi

Vigango vya parokia: Hakuna
 
TAASISI ZA DINI:
Chekechea

TAASISI ZA ELIMU:
Shule za Awali:
Shule za Msingi:
Shule za Sekondari:
Vyuo:

TAASISI ZA AFYA:
Hospitali:
Vituo vya Afya:
Zahanati:

HISTORIA FUPI YA PAROKIA:

PICHA ZA PAROKIA: