|
|
JANUARI |
|
1 |
• Mapumziko ya Mwaka Mpya 2007 – Mkurugenzi wa Utume
wa Walei na VMJ |
|
6 |
Mkutano wa mwezi MSJ na Matendo ya Huruma |
|
7 |
• Tokeo la Bwana (Sikukuu ya Epifania)
• Mkutano wa mwezi Wafransisko wa Asisi – Mt.
Antoni wa Padua Hall
Mkutano wa Viongozi wa JNNK Parokia ya Mt. Antoni wa Padua |
|
7 |
Kipaimara – Kifungilo |
|
08-14 |
Wiki ya Neema |
|
9 |
Ubatizo wa Bwana |
|
12 |
• Kanisa Kuu:
Ushemasi wa Mafrateri 2 (Rosminians)
- Frt. Peter Bahati na
- Frt. George Kamau • Mapinduzi ya Zanzibar
Mama Lishe (Rosminians
Fathers Mwambani) MSJ |
|
13 |
Kikao cha Kamati Tendaji H/W Parokia ya Mt.
Antoni wa Padua |
|
14 |
Mkutano WAWATA
Jimbo na WAWATA St. Peters Pongwe
|
|
15 |
Kuombea Wahamiaji na Wakimbizi |
|
18-25 |
Novena ya Kuombea Umoja wa Wakristo |
|
20 |
Mkutano wa Kamati ya Utendaji WAWATA
Jimbo – Ofisi ya WAWATA Jimbo |
|
20-21 |
Kikao cha Viongozi na wanachama wote – Parokia
ya Kilole |
|
21 |
Kuhamasisha Parokia tarajiwa ya Donge |
|
25 |
• Kukaribisha Mwaka (Tumaini Health Centre) +Misa Takatifu
• Kuongoka kwa Mtume Paulo • Seminari Kuu Kipalapala
na Segerea: Siku ya kutoa Daraja la Ushemasi kwa Mafrateri wa Mwaka
wa Nne (wamo pia wa Tanga:
• Frt. Augustine
Temu (Segerea)
• Frt. Paul
Semng’indo (Segerea)
Frt. Ernest Kipingu
(Kipalapala) |
|
26-29 |
Askofu Mapumzikoni (Morogoro) |
|
27 |
• Tafakari pamoja na Wenyeviti wa VMJ ngazi ya Jimbo na Kamati
Tendaji ya H/W Jimbo – St.
Peters Pongwe
Mkutano wa Sala – Focolare Movement – St.
Teresa |
|
28 |
Mkutano wa Kamati Tendaji H/W Jimbo |
|
|
FEBRUARI |
|
2 |
Kumtolea Bwana Hekaluni – Siku ya Watawa Duniani (Kijimbo:
Mombo) |
|
03 |
Mkutano wa Mwezi MSJ na kuwaombea wagonjwa – Misa |
|
04 |
• Sala: Maisha ya Watawa na Maskini wanaotuzunguka –
C.O.L.U.
Sisters St. Anthony –
Mhusika Fr. John Kikka • Mkutano wa
Viongozi wa JNNK (P) Mt. Antoni wa Padua • Mkutano wa mwezi
Wafransisko wa Asisi – Mt. Antoni wa Padua Hall |
|
10 |
Kikao cha Kamati Tendaji H/W Parokia
ya Mt. Antoni wa Padua |
|
11 |
• Kuombea Wagonjwa Kijimbo
• Kuhamasisha Parokia ya Mt.
Teresa – MSJ
• Mkutano WAWATA Mt. Antoni wa Padua na K/Tendaji WAWATA
Jimbo |
|
12-18 |
Semina ya Kufunguliwa – Karismatik |
|
17 |
• Kikao cha Viongozi wote wa Kanda – Kituo cha Vijana
Tanga
• Mkutano wa Kamati ya Utendaji WAWATA
Jimbo – Ofisi ya WAWATA
Jimbo |
|
18 |
• Kipaimara na Kubariki jiwe la msingi la kigango cha Gologolo
na Shule ya Msingi English Medium – Parokia
ya Rangwi |
|
21 |
• Jumatano ya Majivu: Siku ya Kufunga • Kuwaombea
marehemu wa MSJ – Misa na Matendo ya Huruma • Mama
Lishe MSJ |
|
23 |
• Mkutano wa sala – Focolare Movement – St. Teresa |
|
24 |
• Kikao cha viongozi wote wa Parokia – Parokiani
Lushoto |
|
25 |
• Dominika ya 1 ya Kwaresma Mwaka C • Mkutano wa
Kamati Tendaji H/W Jimbo
• Mkutano WAWATA
Jimbo na WAWATA Parokia ya Mt.
Mathias Mulumba |
|
28 |
Kupokea taarifa za uchaguzi ngazi ya JNNK – Mkurugenzi wa
Utume wa Walei na VMJ |
|
|
MACHI |
|
03 |
- Kamati Tendaji MSJ kukutana
- Mkutano wa mwezi MSJ
|
|
04 |
• Dominika ya II ya Kwaresma
• Kuhamasisha Parokia ya
Mt. Gerald Pongwe – MSJ
• Sala: Jirani yangu ni Nani – C.O.L.U.
Sisters – St. Teresa – Mhusika Baba Askofu Antoni
Banzi
• Mkutano wa Viongozi wa JNNK Parokia
ya Mt. Antoni wa Padua • Mkutano wa mwezi Wafransisko wa Asisi
– Mt. Antoni wa Padua Hall
• Mkutano WAWATA
(J) na WAWATA Parokia ya Pangani |
|
10 |
• Kikao cha Kamati Tendaji H/W Parokia
Mt. Antoni wa Padua
• Kikao cha Viongozi wote wa Parokia – Parokiani
Kilole
|
|
11 |
• Dominika ya III ya Kwaresma
• Mkutano wa viongozi wa VMJ Parokia – Mt.
Antoni wa Padua |
|
15 |
• General Meeting – Health Department |
|
17 |
Mkutano wa Kamati ya Utendaji WAWATA
Jimbo – Ofisi ya WAWATA
Jimbo |
|
17/3 – 2/4 |
Mkurugenzi safarini Windhoek, Namibia kuhudhuria mkutano wa Kimataifa
wa elimu ya awali |
|
18 |
• Dominika ya IV ya Kwaresma
• Mkutano WAWATA Parokia ya
Mt. Teresa na WAWATA
Jimbo |
|
19 |
• Mt. Yosef, Baba Mlishi wa Yesu - Sikukuu ya Somo Mtakatifu
wa Seminari
ya Soni • Kutembelea
Soni Seminari MSJ |
|
24 |
• Mafungo – Karismatik
• Kikao cha Viongozi wote wa Parokia
za Handeni na Kwediboma
na Vigangoni – Parokiani Handeni |
|
25 |
• Dominika ya V ya Kwaresma
• Semina kwa viongozi wa JNNK Parokia
ya Mt. Antoni wa Padua • Mkutano wa Kamati Tendaji H/W Jimbo
na Viongozi wa Kanda ya Lushoto |
|
26 |
Kumtangaza Bwana |
|
30 |
• Kubariki Mafuta (Misa ya Krisma saa 10.30 jioni –
Kanisa Kuu la Mt. Antoni
wa Padua
• Mkutano wa Sala Focolare Movement – St. Teresa |
|
30/3 – 1/4 |
Sikukuu ya Vijana Ulimwenguni – Tamasha la matawi katika Kanda
zote – Kanda ya Tanga Mjini (Parokiani
St. Teresa)
Kanda ya Korogwe (Kilole) Kanda ya Lushoto (Lushoto
Parokiani) |
|
|
APRILI |
|
01 |
• Dominika ya Matawi
• Mkutano wa Viongozi wa JNNK Parokia
ya Mt. Antoni wa Padua |
|
05 |
• Alhamisi Kuu
• Gospel Sharing – C.O.L.U.
Sisters – St. Mathias
Mulumba – Mhusika Sr. Catherine |
|
06 |
Ijumaa Kuu |
|
06-14 |
Novena ya Huruma ya Mungu – MSJ |
|
07 |
• Jumamosi Kuu • Mkutano wa mwezi MSJ
• Kikao cha Kamati Tendaji H/W Parokiani
Mt. Antoni wa Padua |
|
08 |
Ufufuko wa Bwana (PASAKA) |
|
09 |
Jumatatu ya PASAKA – Kuwatembelea wasiojiweza walioko nyumbani
– MSJ |
|
14 |
Kutembelea Handeni Parish
– Idara ya Katekesi |
|
15-16 |
Kutembelea Kwediboma
– Idara ya Katekesi |
|
16-21 |
Financial Management for Bishops (T.E.C.) |
|
16-22 |
Semina ya Maombezi – Karismatik |
|
20 |
Kutembelea Soni na kuongea na viongozi wa H/W Parokia za Soni
na Sakharani na kuongea
na wana NDOA wote – Mkurugenzi wa Utume wa Walei na VMJ |
|
21 |
Mkutano wa Kamati ya Utendaji WAWATA
Jimbo – Ofisi ya WAWATA
Jimbo |
|
26 |
• Mkutano wa Kamati Tendaji H/W Jimbo • Siku ya
Somo: Bikira Maria Mama wa Shauri Jema (MSJ) |
|
27 |
• Mkutano wa Viongozi wa Makatekista Kanda zote – Korogwe
– Idara ya Katekesi
• Mkutano wa Sala – Focolare Movement –Parokiani
Mt. Anthoni wa Padua |
|
29 |
• Dominika ya IV ya Pasaka: Siku ya kuombea na kuchangia miito
• Kupokea wanachama wapya (Makandidati) wa MSJ – Kanisa
Kuu
• Mkutano WAWATA
Parokia ya Tekwa na WAWATA
Jimbo |
|
|
MEI |
|
01 |
• Mt. Yosef Mfanyakazi: Siku ya Wafanyakazi Duniani •
Misa kumuomba Mt. Joseph Mfanyakazi |
|
05 |
• Kamati Tendaji kukutana asubuhi – MSJ •
Mkutano wa mwezi MSJ |
|
06 |
• Maisha yetu ya kila siku na karama zetu za Shirika –
COLU
Sisters Saruji
• Kuhamasisha Parokia ya Mt.
Petro Saruji – MSJ
• Mkutano wa Viongozi wa JNNK Parokia
ya Mt. Antoni wa Padua
• Mkutano wa mwezi Wafransisko wa Asisi – Mt.
Antoni wa Padua Hall |
|
11-13 |
Semina ya NDOA – Karismatik |
|
12 |
• Kikao cha Kamati Tendaji H/W Parokia
ya Mt. Antoni wa Padua
• Tathmini ya matamasha ya Kanda - Kanda ya Tanga (Kituo cha
Vijana), Kanda ya Korogwe (Mazinde
Ngua) Kanda ya Lushoto (Malindi) |
|
19 |
Mkutano wa Kamati ya Utendaji WAWATA Jimbo – Ofisi ya WAWATA
Jimbo |
|
20 |
• Kupaa Kwake Kristo Mbinguni
• Mkutano Mkuu wa uchaguzi ngazi ya Parokia – H/W Parokia
ya Mt. Antoni wa Padua |
|
25 |
• Mkutano wa Sala Focolare Movement – St.
Anthony |
|
26 |
• Mkutano Kamati Tendaji H/W Jimbo na Viongozi wa Kanda ya
Tanga
• Kutembelea Parokia ya
Magoma – Idara ya Katekesi
• Tafakari ya pamoja na viongozi wa Kamati Tendaji Jimbom VMJ
– Kanisa la Kiaskofu
Tanga – Mkurugenzi wa Utume wa Walei na VMJ |
|
27 |
• PENTEKOSTE, Siku ya Waamini Walei • Matendo ya
Huruma – MSJ • Kupokea taarifa za uchaguzi ngazi zote
za Parokia – Mkurugenzi wa Utume wa Walei na VMJ |
|
|
JUNI |
|
01 |
Kamati Tendaji na Bodi kukutana – MSJ |
|
02 |
• Wat. Karoli Lwanga na Wenzake, Mashahidi wa Uganda •
Mkutano Mkuu wa Tawi (Uchaguzi wa Viongozi) Mafungo/Semina |
|
03 |
• Utatu Mtakatifu • Sherehe ya Somo – Mt.
Joseph Mukasa Parokia tarajiwa Amboni • Maisha ya Utawa
ya Karne hii yanakoleza Miito – IVREA Sisters Zaneth
• Mkutano wa Viongozi wa JNNK Parokia
ya Mt. Antoni wa Padua • Utatu Mtakatifu •
Somo wa Makatekista Kijimbo- Idara ya Katekesi
• Mkutano wa mwezi Wafransisko wa Asisi – Mt.
Antoni wa Padua Hall |
|
06 |
Maisha ya Utawa ya Karne hii yanakoleza Miito? – IVREA Sisters
Zaneth – Mhusika Fr. Kiwori |
|
09 |
Kikao cha Kamati Tendaji H/W Parokia
ya Mt. Antoni wa Padua |
|
10 |
• EkaristiTakatifu (Kijimbo Kanisa
Kuu la Mt. Antoni wa Padua
• Somo wa Parokia – Parokia
ya Lushoto |
|
14-19 |
Supervision – Health Department |
|
15 |
• Moyo Mt. Wa Yesu: Siku ya Kutakatifuza Mapadre
• Kutembelea Parokia ya
Kongoi – Idara ya Katekesi |
|
16 |
Mkutano wa Kamati ya Utendaji WAWATA Jimbo – Ofisi ya WAWATA
Jimbo |
|
17 |
• Sikukuu ya somo wa Parokia – Mt.
Antoni wa Padua
• Kuhamasisha Parokia ya
Muheza – MSJ |
|
18 |
Board Meeting – Health Board |
|
23-29 |
60th Plenary Assembly (T.E.C.) |
|
24 |
• Mkutano wa Kamati Tendaji H/W Jimbo Kanisa
Kuu • Somo wa Parokia tarajiwa ya Donge na Komunyo ya
Kwanza |
|
25-1/7 |
Fire Conference – Karismatik |
|
29 |
• Wat. Petro na Paulo Mitume
• Mkutano wa Sala Focolare Movement – St.
Anthony |
|
|
JULAI |
|
01 |
Mkutano wa mwezi Wafransisko wa Asisi – Mt.
Antoni wa Padua Hall – pia utaandaa semina kwa VIRAFRA |
|
02 |
Hospital Meeting (Tumaini Health Centre) |
|
03 |
Mkutano wa Maaskofu CSSC (Eastern Zone) |
|
04-20 |
Retriti ya Mapadre wa Jimbo (Mwambani) |
|
05 |
Gospel Sharing – Donge – COLU
Sisters Mwambani and Commercial School Sisters – Mhusika
Sr. Hieronima |
|
07 |
• Sabasaba: Upadrisho St.
Theresa (Shemasi
Augustine.Temu). •
Mkutano wa mwezi MSJ
• Kikao cha Kamati Tendaji H/W (P) Mt.
Antoni wa Padua •
Mkutano wa K/Tendaji H/W (J) na Kanda ya Korogwe kwa ajili ya kuandaa
mkutano mkuu |
|
08 |
• Mkutano wa Viongozi wa JNNK Parokia
ya Mt. Antoni wa Padua • Kuhamasisha Parokia tarajiwa
Amboni – MSJ • Kutembelea mradi wa Shirikisho Morogoro
– MSJ |
|
8-15 |
Wiki ya Vijana na Matendo ya Huruma |
|
13 – 14 |
Mkutano wa Viongozi Parokia
ya Manundu Korogwe -
UVIKATA |
|
15 |
Komunyo ya Kwanza – Mt.
Antoni wa Padua |
|
21 |
• Upadrisho wa Shemasi
Paul Semng’indo – Rangwi
• Mkutano wa Kamati ya Utendaji WAWATA Jimbo – Ofisi ya
WAWATA Jimbo |
|
27 |
Mkutano wa Sala Focolare Movement – Mt.Mathias
Mulumba |
|
29 |
• Kamati Tendaji ya H/W Jimbo na Kanda ya Korogwe
• Komunyo ya Kwanza – Mt.
Mathias Mulumba |
|
30 |
Kupokea taarifa za uchaguzi wa viongozi wa VMJ ngazi ya Jimbo –
Mkurugenzi wa Utume wa Walei na VMJ |
|
|
AGOSTI |
|
01 |
Mkutano wa Viongozi wa JNNK Parokia
ya Mt. Antoni wa Padua |
|
04 |
• Kamati Tendaji kukutana MSJ • Mkutano wa mwezi
MSJ |
|
05 |
• Dominika ya XVII ya Mwaka: Siku ya Upashanaji Habari
• Kuhamasisha Parokia ya
Hale – MSJ • Komunyo Takatifu Parokia tarajiwa Amboni
• Kipaimara – Kwai
• Maisha ya Utawa na Changamoto la ugonjwa wa UKIMWI –
St. Gerald Pongwe –
C.O.L.U.
Sisters - Mhusika Sr. Flora • Mkutano wa mwezi Wafransisko wa Asisi
– Mt. Antoni wa Padua Hall |
|
08 |
• Siku ya Wakulima – Nanenane
• Upadrisho wa Shemasi
Ernest Kipingu – Kwesine Sakharani
Parish |
|
11 |
Kikao cha Kamati Tendaji H/W (P) Mt.
Antoni wa Padua |
|
12 |
• Kupalizwa Mbinguni Bikira Maria • Kipaimara, mawe
ya Msingi na kubariki Makanisa – Handeni • Matendo
ya Huruma na Mama Lishe – MSJ • Mkutano wa Kamati
Tendaji H/W Jimbo kuhusu maandalizi ya uchaguzi wa H/W Jimbo na VMJ
Jimbo |
|
|
Hija - UVIKATA |
|
15 |
Kipaimara Parokiani Gare |
|
19 |
Semina kwa viongozi wa JNNK Parokia
ya Mt. Antoni wa Padua |
|
18 |
Mkutano wa Kamati ya Utendaji WAWATA Jimbo – Ofisi ya WAWATA
Jimbo |
|
24 - 26 |
• Halmashauri Kuu WAWATA
Jimbo
• Mkutano Mkuu WAWATA
Jimbo. -Kanisa Kuu la Mt.
Antoni wa Padua |
|
26 |
• Kipaimara – Kwalukonge
• Mkutano wa Kamati Tendaji H/W Jimbo na Viongozi wa VMJ –
kanisa Kuu |
|
28 |
Mt. Augustino – Somo wa Parokia
ya Manundu |
|
31 |
Mkutano wa Sala Focolare Movement – St.
Mathias Mulumba |
|
|
SEPTEMBA |
|
01 |
• Kamati Tendaji kukutana – MSJ • Mkutano
wa mwezi MSJ • Mkutano Mkuu wa Uchaguzi H/W Jimbo –
Korogwe |
|
02 |
• Dominika ya XXII ya Mwaka C – CARITAS
• Kuhamasisha Parokia ya
Kilole – MSJ
• Mkutano wa Viongozi wa JNNK Parokia
ya Mt. Antoni wa Padua
• Kuwapenda maadui na msamaha wa kweli – St.
Anthony – C.O.L.U.
Sisters Hostel and Raskazone House
• Mkutano wa mwezi Wafransisko wa Asisi – Mt.
Antoni wa Padua Hall |
|
3-9 |
Semina ya Ushauri Nasaha |
|
|
Mkutano wa Mkuu wa Uchaguzi – Rock
Memorial Korogwe - UVIKATA |
|
08 |
Kikao cha Kamati Tendaji H/W (P)
Mt. Antoni wa Padua |
|
14 |
Siku ya Sala Makatekista Kanda ya Korogwe – itafanyika Manundu
Parokiani – Mhashamu Baba Askofu atahudhuria – Idara
ya Katekesi |
|
15 |
• Bikira Maria wa Mateso – Misa – Kutembelea Soni
Seminari – MSJ • Mkutano wa Kamati ya Utendaji
WAWATA Jimbo – Ofisi ya WAWATA Jimbo |
|
16 |
• Kipaimara na Mavuno Mt.
Augustino Manundu • Kipaimara Parokia tarajiwa Amboni na sherehe
za uzinduzi wa Jengo la Kichungaji |
|
22 |
Adhimisho la Mt. Rock Msimamizi wa Shule na Mwenza wa Pd. Rock Katabure
– Mkurugenzi wa utume wa Walei na VMJ |
|
23 |
Kipaimara: Kikunde na Chamtui (Kwediboma) |
|
29 |
• Kamati ya Hija Gare
– H/W (J) • Malaika Wakuu – Misa MSJ • Matendo
ya Huruma – MSJ |
|
30 |
• Kipaimara: Mt. Teresa
• Mavuno Mt. Mathias Mulumba |
|
|
OKTOBA
– mwezi wa kusali Rozari |
|
04 |
Sikukuu ya Mt. Fransisko wa Asisi wote wahudhurie Misa katika Parokia
zao |
|
06 |
• Kikao cha Kamati Tendaji H/W (P) Mt.
Antoni wa Padua • Mkutano wa mwezi – MSJ •
Malaika Walinzi |
|
07 |
• Kipaimara na Mavuno: Tekwa
• Mkutano wa Viongozi wa JNNK Parokia
ya Mt. Antoni wa Padua
• Kuhamasisha Parokia
ya Mt. Augustino Manundu – MSJ • Kufariji waliofiwa
na ndugu zao – MSJ
• Mkutano wa Viongozi wa JNNK Parokia
ya Mt. Antoni wa Padua
• Maisha ya Utawa na Familia zinazotuzunguka – St.
Theresa – C.O.L.U.
Sisters St. Anna na Tumaini – Mhusika Sr. Florentina
• Mkutano wa mwezi Wafransisko wa Asisi – Mt.
Antoni wa Padua Hall
• Mavuno Parokia ya Lushoto |
|
8-14 |
• Kongamano la Vijana Kitaifa – Jimbo la Dodoma - UVIKATA |
|
14 |
• Dominika ya XXVIII ya Mwaka C – Kumbukumbu ya Baba
wa Taifa – Mwalimu Day • HIJA KIJIMBO •
Wafransisko wote washiriki Hija |
|
20 |
Mkutano wa Kamati ya Utendaji WAWATA
Jimbo – Ofisi ya WAWATA
Jimbo |
|
21 |
• Dominika ya XXIX ya Mwaka: Siku ya Misioni (Kueneza Dini)
• Mavuno Parokia tarajiwa ya Donge |
|
28 |
• Watakatifu Wote • Matendo ya Huruma – MSJ
• Mkutano wa Kamati Tendaji H/W Jimbo Kanisa
Kuu Tanga
• Mavuno Parokia ya
Mt. Antoni wa Padua |
|
31 |
• Mkutano wa Sala Focolare Movement – St.
Anthony |
|
|
NOVEMBA |
|
01 |
• Marehemu Wote (Kilole)
• Mkutano Mkuu wa Viongozi kuanzia ngazi ya Parokia –
Idara ya Katekesi |
|
02 |
Marehemu Wote (maparokiani)
Bodi na Kamati Tendaji kukutana – MSJ |
|
03 |
• Mafungo H/W Jimbo na VMJ – Mwambani • Mkutano
Mkuu wa tawi – mafungo/semina – MSJ |
|
04 |
• Mkutano wa Viongozi wa JNNK Parokia
ya Mt. Antoni wa Padua
• Ushuhuda wetu katika mazingira ya Imani potofu (Ushirikina)
– St. Gerald Pongwe
– C.O.L.U.
Sisters Rosmini Secondary – Mhusika Fr. F. Tarimo
• Mkutano wa mwezi Wafransisko wa Asisi – Mt.
Antoni wa Padua Hall – Pia Wafransisko wakumbukeni marehemu |
|
5-11 |
Wiki ya Neema Tanga Mjini – Karismatik |
|
10 |
Kikao cha Kamati Tendaji H/W (P) Mt.
Antoni wa Padua |
|
11 |
• Mkutano wa viongozi wa VMJ Parokia – Mt.
Antoni wa Padua
• Kipaimara na Kubariki Kanisa jipya la Kigango cha Mkumbara
– Mazinde Ngua |
|
15 |
• Closing General Meeting – Health Board |
|
17 |
Mkutano wa Kamati ya Utendaji WAWATA
Jimbo – Ofisi ya WAWATA
Jimbo |
|
24 |
Mkutano wa Kamati Tendaji H/W Jimbo |
|
25 |
• YESU KRISTO MFALME: Kilele cha Shukrani ya Mavuno Kijimbo
(Kanisa Kuu) • Matendo
ya Huruma – MSJ |
|
30 |
• Mkutano wa Sala Focolare – St.
Anthony |
|
|
DESEMBA |
|
01 |
• Kuombea Waathirika wa VVU/UKIMWI • Mkutano wa
mwezi MSJ |
|
02 |
• Dominika ya I ya Majilio Mwaka A
• Mkutano wa Viongozi wa JNNK Parokia
ya Mt. Antoni wa Padua
• Utume wa Mtawa Jimboni –Majani Mapana – C.O.L.U.
Sisters Majani Mapana – Mhusika Rt.
Rev. Bishop A. Banzi
• Mkutano wa mwezi Wafransisko wa Asisi – Mt.
Antoni wa Padua Hall |
|
04 |
Nadhiri za muda na Missio Canonica: Rangwi
Novitiate |
|
08 |
• Bikira Maria Imakulata: Siku ya Nadhri za Daima na Jubilei
– Konventi ya Masista wa C.O.L.U.
Kwamndolwa • Mafungo/semina Mkutano Mkuu wa Shirikisho
Morogoro MSJ
• Kikao cha Kamati Tendaji H/W (P) Mt.
Antoni wa Padua |
|
09 |
Dominika ya II ya Majilio: Siku ya Jamhuri (Tanzania) |
|
15 |
Mkutano wa Kamati ya Utendaji WAWATA
Jimbo – Ofisi ya WAWATA
Jimbo |
|
24 |
Misa ya Mkesha wa NOELI |
|
25 |
KUZALIWA KWAKE YESU KRISTO (NOELI) |
|
26 |
Kipaimara: Donge |
|
28 |
Watoto Mashahidi: Siku ya Utoto Mtakatifu (Utume
wa Watoto)
Mkutano wa Sala Focolare Movement – St.
Anthony |
|
30 |
Familia Takatifu |
|
31 |
• Mwisho wa Mwaka 2007 • Mkesha wa Mwaka Mpya 2008 |
|
|
JANUARI 2008 |
|
01 |
Mwaka Mpya: Umama wa Bikira Maria |
|
|
|