Parokia ya Familiya Takatifu Yesu, Maria na Yosefu (1950) S.L.P 46, Kwediboma, Handeni, Tanga, Tanzania. Mapadre: Pd. Ronald Njau Tumaini: Paroko
Parokia ya Wat. Paulo na Ibrahimu (1976) S.L.P. 44, Handeni, Tanga, Tanzania. Mapadre: Pd. Joseph Sekija: Paroko
Parokia ya Wat. Gregori na Katarina (1986) S.L.P. 61, Kabuku, Korogwe, Tanga Tanzania Mapadre: Pd. Gervas Tairo: Paroko Pd. Thaddeus Lekule: Paroko Msaidizi
Parokia ya Mt. Isidore Mkulima (2011) S.L.P. 397, Mkalamo, Korogwe, Tanga, Tanzania Mapadre: Pd. Leopold Nyandwi: Paroko
Parokia ya Mt. Maximillian Maria Kolbe (2022) S.L.P 88, Mkata, Handeni, Tanga Tanziania Mapadre: Pd. James Kabosa: Paroko Pd. Joseph Kikoti: Paroko msaidizi