PAROKIA YA BIKIRA MARIA WA ROZARI
KANGE TANGA
DEKANIA TANGA MJINI


A generic square placeholder image with a white border around it, making it resemble a photograph taken with an old instant camera


Parokia ya Bikira Maria wa Rozari (2023)
S.L.P -, Kange,
Tanga, Tanzania.

RATIBA YA IBADA:
JUMAPILI:
Misa 1: saa 12:00 alfajiri.
Misa 2: saa 02:00 asubuhi

SIKU ZA JUMA;
Jumatatu hadi Jumamosi saa 12:00 Alfajiri

Mapadre:
Pd. Polycarp Shayo IC: Paroko


Bikira Maria wa Rozari
somo wa Parokia.
Sherehe yake ni kila
Tarehe 07 Oktoba