WAHUDUMU WA PAROKIA
Paroko: Mheshimiwa Padre Anthony Marandu, I.C.
Padre Msaidizi: Mheshimiwa Padre Firmat Tarimo, I.C.
Watawa: Shirika la Mama yetu wa Usambara (COLU)
RATIBA YA MISA:
Jumapili/Dominika: Saa 4.30 Asubuhi (Kongei Saa 2.30Asubuhi)
Siku za wiki: Saa 1:00 Asubuhi
Vigango vya parokia: (4)
Gare, Kongei, Boheloi, Kwemashai
TAASISI ZA DINI:
- Kituo cha Hija cha Jimbo
- Nyumba ya Wapostulanti ya Shirika la Mapendo
- Shule ya Chekechea Gare
- Konventi ya Masista wa COLU Kongei
- Zahati Gare na Chekechea
- Sekondari ya Wasichana Kongei, S.L.P. 61, Lushoto, Tanzania.
- Zahanati ya Kongei, S.L.P. 61, Lushoto, Tanzania
TAASISI ZA ELIMU:
Shule za Awali:
Shule za Msingi: 7
Shule za Sekondari: 4
Vyuo: 0
TAASISI ZA AFYA:
Hospitali:0
Vituo vya Afya: 0
Zahanati: 2
HISTORIA FUPI YA PAROKIA:
PICHA ZA PAROKIA: |