IBADA MBALIMBALI JIMBONI TANGA

Hija ya kijimbo Parokiani Gare 14/10/2013
Mtukio mengine ya Ibada
Balozi wa Baba Mtakatifu Alipotembelea Jimbo la Tanga na Kutoa Sakrament ya kipaimara.

Maandamano kuelekea ibada ya Misa Takatifu kwa ajili ya kuweka nadhiri za daima na Jubilei za Masista wa Mama Yetu wa Usambara (COLU)

Maandamano ya kuutembeza msalaba wa Jubilei Kuu Jimboni Tanga, Wakati Jimbo la Tanga liliposherehekea Jibilei ya Miaka 50 tangu Tanga kuwa Jimbo (Oktoba 2008)

Ujio wa Mwadhama Kardinal Polikap Pengo Jimboni Tanga, ikiwa ni moja ya maandalizi ya kilele cha sherehe za Jubilei ya Miaka 50 tangu Tanga kuwa Jimbo

 

Moja ya ibada za kutolewa daraja la upadre na Mhashamu Askofu Anthony Banzi Jimboni Tanga

 

Ibada ya siku ya Kilele ya Jubilei ya miaka 50 tangu Tanga kuwa Jimbo, ikiongozwa na Mhashamu Akofu Leburu, Askofu wa Jimbo Kuu la Arusha. (14 Oktoba 2008)

Kuhamishwa kwa Msalaba wa Jubilei Kuu ya miaka 2000 ya Ukristo Duniani, toka kanisa Kuu kwenda nyumba ndogo ya sala.

Balozi wa Baba Mtakatifu akibariki makaburi na eneo wanapozikwa mapadre wazalendo Jimboni Tanga, pale alipotembelea Jimbo la Tanga kwa ziara maalumu ya kichungaji.