MATUKIO MBALIMBALI

go to Home page
Hija ya kijimbo Oktoba 2013
 
Balozi wa Baba Mtakatifu Tanzania, ziara ya kichungaji Jimboni Tanga.

Alipotembelea Konventi ya Masista wa Mama yetu wa Usambara COLU, Kwamndolwa

 

Alipokuwa nyumba ya Masista wa Shirika la Mapendo, Muheza Tanga

 

Lipokuwa na Kanisa Kuu Jimboni Tanga, Chumbageni Tanga

 

 

Alipotembelea Jengo la utangazaji la kituo cha Radio ya Jimbo, Radio Huruma, likiwa katika hatua za mwanzo za matengenezo

 

Balozi alipotembelea nyumba ya Shirika la Mapendo, Mwambani Tanga

 

 

 

UJIO WA MUHADHAMA KARDINAL POLKAP PENGO JIMBONI TANGA (2008)

 

 

Akiwa parokiani Mtakatifu Petro Saruji Pongwe

 

 

Akisalimiana na watoto wa shule ya awali Parokiani Saruji Pongwe

 

 

 

Akiwasili Kanisa Kuu la Mtakatifu Anthony wa Padua Chumbageni Tanga.

 

Muhadhama Pengo alishiriki pia katika matembezi ya Hisani

 

 

Waumini walipata pia nafasi ya kukagua ujenzi wa jengo la kichungaji (2008)

 

go to Home page