PAROKIA YA LUSHOTO

KANISA KATOLIKI JIMBO LA TANGA

 

Jina la Parokia: Lushoto
Anuani: S.L.B. 26, Lushoto, Tanzania
Simu: +255688100344
Pepe: parokia_lushoto@dioceseoftanga.org
Mlinzi wa Parokia: Ekaristi Takatifu
Udekano: Lushoto
Uzinduzi wa Parokia: 1950


Taarifa Zaidi:

(Angalia ukurasa huu kwa kiingereza)

 

WAHUDUMU WA PAROKIA

Paroko:  Mheshimiwa Padre Alfred Kimario, I.C.
Padre Msaidizi: Mheshimiwa Padre Isaac Gitaga Okindo, I.C.

Watawa: Shirika la Mama yetu wa Usambara (COLU)

RATIBA YA MISA:
Jumapili/Dominika: Saa 1.30 na 3.30 asubuhi
Siku za wiki: Saa 12.30 asubuhi (Alhamisi saa 10.30 jioni + Kuabudu)

Vigango vya parokia: (3)
Lushoto, Mhelo, & Yoghoi
 
TAASISI ZA DINI:

  • Shule ya Chekechea
  • Hospitali ya Meno ya Mt.Yosefu. SL.B 38, Lushoto, Tz. Simu +255-272640118
  • Nyumba ya Masista wa Damu Azizi ya Wasiojiweza
  • Nyumba ya Malezi ya Warosmini, S.L.B 100, Lushoto. Tz. Simu +255-272640128
  • Chuo cha Montessori. S.L.B 51 Lushoto. Tanzania. Simu: +255-272640055
  • Hosteli ya Mt. Eugene na Ukumbi wa Mikutano Montessori. www.stEugensHostel.com
  • Zahanati ya Mt. Mikaeli Montessori Ubiri
  • Shule ya Kiingereza Montessori Ubiri

TAASISI ZA ELIMU:
Shule za Msingi:12
Shule za Sekondari: 7
Vyuo: 5

TAASISI ZA AFYA:
Hospitali: 1
Vituo vya Afya:
Zahanati: 2 ( +Zahanati moja ya Meno)

HISTORIA FUPI YA PAROKIA:

PICHA ZA PAROKIA: