WASIFU WAKE
+ Pd. Charles Mhina alizaliwa tarehe: 02/06/1964
Alipata daraja takatifu la upadre tarehe: 24/06/1987,
Alifariki tarehe: 14/01/2001 katika hospital ya Tumaini jimboni Tanga alikokuwa amelazwa kwa matibabu.
Amefariki akiwa na muda wa miaka 14 tu ya utume kama padre katika kanisa.
Amezikwa katika makaburi ya mapadre yaliyoko Parokiani Kilole Korogwe jimboni Tanga.
Raha ya milele umpe ee Bwana: Na mwanga wa milele umuangazie
Apumzike kwa amani: Amina
catholic diocese of Tanga © 2024
|