+ Pd. Charles Saguti Wasifu wake


WASIFU WAKE

+ Marehemu Padre Charles Saguti alizaliwa mwaka 1968,
Alipata daraja Takatifu la upadre tarehe 15/08/1999, akiwa na mapadre wenzake wawili yaani Pd. Sylvester Nitunga na Pd. Nemes Kiama
Alifariki tarehe 21/11/2000 kwa ajali ya pikipiki maeneo ya Pongwe. Ni Padre aliyehudumu kwa muda mfupi sana katika utume wake kama padre Jimboni Tanga. Amehudumu kama padre kwa muda wa mwaka mmoja na miezi mitatu hivi.
Mbele ya Mungu muda si kitu, hivyo tunamshukuru sana kwa utume wake katika kanisa jimboni Tanga, utume ulidumu kwa muda wa mwaka 1 na miezi 2.

Raha ya milele umpe ee Bwana: Na mwanga wa milele umuangazie
Apumzike kwa amani: amina.

catholic diocese of Tanga

© 2024