WASIFU WAKE
+ Pd. Gerald Chilambo alizaliwa tarehe 31/12/1937,
Alipata daraja takatifu la upadre tarehe 09/12/1969,
Alifariki tarehe 12/01/2000 na kuzikwa katika makaburi ya mapadre jimboni Tanga huko parokiani Kilole
katika wilaya ya Korogwe.
Marehemu Padre Gerald Chilambo aliweza kumtumikia Mungu kama padre kwa muda wa miaka 31. Tunamshukuru Mungu
kwa nafasi ya uhai wake na kuweza kulitumikia jimbo letu la Tanga kwa kipindi hicho.
Raha ya milele umpe ee Bwana: Na mwanga wa milele umwangazie.
Apumzike kwa amani: Amina.
catholic diocese of Tanga © 2024
|