+ Pd. James Kweka Wasifu wake


WASIFU WAKE

+ Padre James Kweka alizaliwa mwaka 1937,
Alipata daraja takatifu la upadre tarehe 29/06/1975,
Alifariki tarehe 6/04/1996 na kuzikwa katika makaburi ya mapadre parokiani Kilole Korogwe Tanga.
Padre Kweka aliweza kumtumikia Mungu kama padre kwa muda wa miaka 21.
Tunamshukuru Mungu kwa utume wake jimboni Tanga.

Raha ya milele umpe ee Bwana: Na mwanga wa milele umuangazie
Apumzike kwa amani: Amina.

catholic diocese of Tanga

© 2024