WASIFU WAKE
Marehemu Padre Samweli Itatiro Mkorokoti alizaliwa tarehe 26/12/1945 na wazazi baba Oswald Mkorokoti na mama Maria Mataja katika kijiji cha Ruaha
Mahenge Morogoro, Tanzania.
ELIMU
1956 – 1959 alisoma darasa la I – IV katika shule msingi Ruaha.
1962 – 1964 alisoma darasa la V – VII katika shule ya kati Ruaha Middle School.
1966 daras la VIII alisoma Gare Middle School
1967 – 1968 Intermediate year kidato cha I – II Bagamoyo Secondary School
1969 – 1970 kidato cha III – IV St. Peters Seminary Morogoro.
1971 – 1972 Masomo ya Falsafa (Philosophy) Kibosho Senior Seminary
1973 – 1976 Masomo ya Theology, Segerea Senior Seminary
USHEMASI NA UPADRE
29/06/1975: Alipewa daraja la ushemasi
27/06/1976: alipata daraja takatifu la upadre
ELIMU ZAIDI
2003 Alipata mafunzo Carsimatic renewal course Kampala Uganda
UTUME WAKE
1976 – 1980 paroko msaidizi parokia ya Kilole Korogwe.
1980 – 1988 Paroko parokia ya Kilole Korogwe
1988 – 1997 Paroko parokia ya Mlingano
1997 - 2002 Paroko Parokia ya Lushoto na mkuu wa kanda ya Lushoto na Chairman of Soni Seminary
board member of Priestly Vocation in the Diocese of Tanga.
2002 Paroko msaidizi Chumbageni Tanga.
2003 Mlezi wa Charismatic jimbo
2009 Paroko msaidizi Mazinde Ngua
2009 Baada ya kuanza kuugua alihamia parokia ya Mt. Theresia wa mtoto Yesu Bar.20 Tanga kwa mapumzikoni na kushughulikia afya yake zaidi.
KIFO
Marehemu Padre Itatiro alifariki tarehe 06/05/2010 baada ya kuugua sana. Ameweza pia kudumu katika utume kama padre kwa muda wa miaka 34.
Mwili wake unalala katika makaburi ya mapadre parokiani Kilole Korogwe Tanga.
Raha ya milele umpe ee Bwana: Na mwanga wa milele umuangazie.
Apumzike kwa Amani: Amina
catholic diocese of Tanga © 2024
|