+ Pd. Zachary John Kayanza Wasifu wake


WASIFU WAKE

+ Marehemu Padre Zachary John Kayanza alizaliwa Novemba 1951 na wazazi baba John Kayanza na mama Adela Masua huko Arusha Tanzania.

ELIMU
Alipata elimu ya Msingi, sekondari na mosomo ya upadre Falsafa na Theolijia katika shule na vyuo mbalimbali.
Alijifunza pia course mbalimbali kama Pitman shorthand, -Advanced book-keeping na -typing

USHEMASI NA UPADRE
29/6/1974: Alipata daraja la Ushemasi.
29/6/1975: Alipata daraja takatifu la upadre

UTUME WAKE KATIKA KANISA
Aliwahi kuwa paroko parokia ya Maramba Tanga
Aliwahi pia kufanyakazi kama paroko parokia ya Pangani.
2009 alikuwa paroko parokia ya Mt. Anthony wa Padua Chumbageni Tanga,
2011 alikuwa paroko msaidizi parokia ya Mt. Theresia Barabara ya 20 Tanga.

KIFO
Marehemu Padre Zachary Kayanza alifariki tarehe 28/12/2013 baada ya kuugua kwa muda mrefu. Katika utume wake ameweza kulitumikia jimbo letu la Tanga kwa muda wa miaka 38 kama padre.

Raha ya milele umpe ee Bwana: na mwanga wa milele umuangazie.
Apumzike kwa Amani: Amina.

catholic diocese of Tanga

© 2024