WASIFU WAKE
+ Marehemu Msgr Stanislaus Baruti alizaliwa Mei 1954 na wazazi baba Epimack Baruti na mama Sabina Nyangusi katika kijiji cha Yamba huko Mgwashi
wilayani Lushoto Tanga Tanzania.
ELIMU
1964 – 1965: Alisoma darasa la I – II katika shule msingi Yamba.
1966 – 1967: darasa la III – IV alisoma katika shule msingi Bosha huko Mlola, Lushoto.
1968: darasa la V alisoma sasa katika shule msingi Mlola Lushoto.
1971 – 1972: darasa la V – VI alisoma shule msingi Gare Lushoto.
1972 – 1973: darasa la VI – VII alisoma shule msingi Lutindi Korogwe.
1974 – 1977: alisoma masomo ya sekondari kidato cha I – IV huko Bihawana Secondary School, Dodoma, Tanzania
1978 – 1979: kidato cha V – VI alisoma akiwa nyumba ya malezi Gare Lushoto.
1980 – 1982: masomo ya Falsafa (Philosophy) alisoma seminari kuu huko Kibosho Moshi, Tanzania
1982 – 1983: alijiunga na Novitiate at Rosminian House huko Maramba, Tanga.
1983 – 1985: alisoma Theology katika seminari kuu ya Segerea Dar Es Salaam, Tanzania
1985 – 1987: Baccalaureato (B.A.) at Pontificia Universitas Gregoriana in Rome, Italy
1987: Lecenza (M.A.) in Spirituality at Pontificia Univiersitas S. Tomaso Largo Angelicum, Rome, Italy
USHEMASI NA UPADRE
Januari 13, 1989: alipata daraja la ushemasi katika kanisa la Mt. Anthony wa Padua (Cathedral) Chumbageni Tanga.
Julai 17, 1989: alipata daraja takatifu la upadre katika kanisa la Mt. Anthony wa Padua (Cathedral) Chumbageni Tanga.
August 15, 2020: Received Papal honorable title MONSIGNOR in Tanga, Tanzania
UTUME WAKE
1988 – 1989: Spiritual Director at Soni Seminary School in Soni, Tanzania
1989: paroko msaidizi Mt. Anthony wa Padua (Cathedral) Chumbageni Tanga, Tanzania
1990 – 1996: Diocesan Procurator in Tanga, Tanzania
1990 – 1996: Diocesan Health Director in Tanga, Tanzania
1996: paroko parokia ya Amani.
1996: The Diocesan Education Director.
1996: The Director of Tukae Tanzania (NGO) huko Amani, Tanzania
1996: The Director Tiwoshe Tanzania (NGO) huko Amani, Tanzania
1996: The Director of Vyadahikana Tanzania huko Amani, Tanzania
Marehemu Msgr Stanislaus Baruti alifariki tarehe 13/06/2022 baada ya kuugua mara kwa mara. Lakini pamoja na kuugua huko Msgr Baruti aliendelea
kuihudumia parokia yake ya Amani kwa huduma zote mpaka siku aliyofariki. Ameweza pia kulitumikia kanisa kama padre kwa muda wa miaka 33.
Raha ya milele umpe ee Bwana: na mwanga wa milele umuangazie.
Apumzike kwa amani: Amina.
catholic diocese of Tanga © 2024
|